Header AD

San Music Tz App



Shukrani Zetu

Asante Kwako Wewe na Shukrani Zetu Zikufikie Ulipo Kwa Kuwanasi Kipindi Chote Cha Mapito Yetu, Tangu Tunaanza Hadi Sasa.

Na Kwakuwa Tunakujali Na Kukuthamini Hukutukiwa na Lengo Kuu La Kuhakikisha Hupitwina Chochote

Tumeamua Kukusogezea App Mpya Yenye Mwonekano Wakuvutia Na Unaopendeza.

Mwonekano Mpya Wa App Ya San Music Tz



Faida Za Kutumia App Hii Mpya

1.Utaweza Kupakuwa, Kusikiliza Na Kutazama Nyimbo Zote Mpya Wakati Wowote, Mahari Popote (24/7) Zikiwa Katika Ubora Wake.

2.Utaweza Kupokea Taarifa zoteZa Kila Nyimbo Mpya Inapokuwa Hewani (Katika Simu Yako).

3. Utaweza Kuangalia Historia Ya Nyimbo Zote Ulizozipakuwa Na Kuazitazama/Kusikiliza Bila kutumia Data Yako.


Pakuwa Sasa

Pakuwa Program (Apk) na Install kwanye simu yako
Reviewed by Said Bushiri Love on 8:03 AM Rating: 5