Header AD

N:B Kuto fuata Taratibu. Kutafanya kushindwa kutufikia matangazo yako


Aina ya Matangazo Yanayo Ruhusiwa
Tunatangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa Mpya Na Zilizotumika, Mikutano, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Partment n.k

Matangazo yasiyo ruhusiwa
Hatutapokea matangazo yote ya Tiba asili (ispokuwa zilizo kaguliwa na mamlaka husika), Ngono na Product za Kukuza makalio au kubadili maumbile.. Hii ni kulingana na sheria na kanuni za San Media Tz katika tovuti zake.

Ghalama Za Matangazo
Ghalama za matangazo nikama ifuatavyo:-
Siku 1: 200/=
Mwezi 1: 6,000/=
Miezi 6: 28,000/=

Mahitaji Muhim unapotangaza nasi...
1. Picha tatu(3) hadi moja(1) za utambulisho wa bidhaa zako/yako

2. Maelezo ya utambulisho wa bidhaa/biashara yako kwa ufupi.

3. Anuani ya sehem unayopatikana na Mawasiliano yako {Emails & Phone Numbers}

Namna Ya Uwasirishaji...
Kuna njia mbili (2) pekee zinazotumika. Nazo nikama ifuatavyo:-
A. Uwasirishaji kwanjia ya Whatsapp No. 0672707654

B. Uwasirishaji kwanjia ya Email: Sanmediatz@yahoo.com

Namna ya Kulipia Tangazo
Maripo yote yatatakiwa kutumwa kwenda Tigopesa Namba 0672707654 Jina:SAIDI BUSHIRI

Kumbuka: "Malipo yote Yanatakiwa ya fanyike kabla.. na utaambatanisha na kumbukumbu namba ya mwamala husika."

Contacts Us

Reviewed by Said Bushiri Love on 2:20 PM Rating: 5